Ushafikiwa na pahali ambapo unashindwa kumuuliza maswali mwanamke katika mtandao? Hiiinatokea wakati ambapo unaishiwa na stori ama maswala ambayo yanaweza kuzua stori zaidi. Well, usiwe na wasiwasi kwani haya ni baadhi ya mambo ambayo huwatokea wanaume wengimara nyingi ambapo wanachat na wanawake ambao ni wangeni kwaoama strangers.
Kutatua swala hili, kama paneli, tumekuja na maswali ambayo ukiyatumia yanaweza kuzua amakuchangia kupanua maongezi na pia kwa mchango flani kukusaidia wewe kumfanya mwanamkeunaye chat naye kuingiwa na ari ya kuongea na wewe zaidi na zaidi.Maswali yenyewe ni kamayafuatayo.
1. Kawaida unafanya nini siku za wikendi?
Hili ni swali lililowazi ambalo unaweza kumuuliza mwanamke yeyote ili kuzua mjadala zaidi.Iwapo ashaeleza katika profile yake, basi unaweza kulijeuza swali hilo na kumuuliza zaidikuhusu mambo anayoyafanya wikendi. Mfano kama ameeleza kuwa wikendi yeye hupendakupika unamuuliza ni chakula gani na kadhalika.
Hivi utamfanya akuelezi mengi na mengi huku ukimakinika kwa kuchukua yote ambayoatakutajia ili baadae utumie hio nafasi kuuliza maswali zaidi. Pia unaweza kutumia hii nafasiuangalie vitu ambavyo vinafanana na mnavipenda nyote wawili.
2. Ushawahi kukutana na mwanaume yeyote kwa mtandao ambae humpendi?
Hili ni swali muhimu la kumuuliza mwanamke kwani litakusaidia wewe kujitenga nakujitofautisha na wanaume wengine wanaopatikana kwa mtandao wa kijamii. Kumuuliza swalihili litamfanya kufungua roho yake kwako kwani ataona ya kwamba wewe unaelewa tofauti nachangamoto ambazo zinapatikana kwa wanawake kutoka kwa wanaume.
Hii kwa muda mfupi utamwona mwanamke kama huyu akiingiwa na ari ya kutaka kukujua zaidina zaidi
3. Je wapenda date zinazofanyika online?
Hapa lazima utumie ujanja wakati wakuuliza swali kama hili. Jaribu kutumia mbinu ya kujeuzajeuza na kuchezea maneno ilimradi uzue maswala mengi ambayo yatazunguka katika hili swali.Mfano baada ya kumuuliza unaweza kuuliza maswali kama nani, wapi, ilikuwaje, halafu nk ilikufanya maongezi yenyewe yawe na mnato wake.Jaribu kumakinika kadri uwezavyo na unukuumambo ambayo tayari amepitia ili kujaribu kufananisha nayako.
4. Vitu gani unavyopenda na kuchukia?
Fanya kumuuliza hili swali ili upate kuyajua mambo yake .
Hii itakuwasaidia wewe kuwekamipaka kwa mambo ambayo yanaweza kumkwaza ama kumfurahisha.
KUMBUKA:Kulingana na utafiti ni kuwa ndoa nyingi ambazo zinatokana na mitandao ya kijamiihufanikiwa zaidi kuliko ndoa nyingine zozote zile.Pia fahamu ya kwamba maswali manne hapojuu yanaweza kubadilishwa ili yatumike kulinganana changamoto unazoziona wewe.
;