NAY WA MITEGO KWELI AMEMVISHA PETE SHAMSA FORD?


Jana kupitia ukurasa wake wa @Instagram Shamsa Ford alimshukuru Nay wa Mitego kwa kumvalisha pete…

Nay amesema amempa tu pete kama zawadi na si kumvalisha.


Amesema anaona hiyo ni zawadi ambayo ataweza kumkumbuka nayo tofauti na zawadi nyingine…amesema kama itakuwa vinginevyo atakuwa tayari kuweka wazi.


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »