Mtangazaji machachari nchini Tanzania wa kituo cha redio cha East Africa Redio na televisheni ya EATV,ametoa maoni yake kupitia akaunti yake ya mtandao wa twitter mara baada ya msanii wa bongo fleva Ally kiba kutoa video yake ya Chekecha Cheketua, na hivi ndivyo alivyo tweet!!!
;