Vimini vyageuka kuwa Dili...Hotelini unaweza kula Buree!


TZ kuna matukio ambayo yamewahi kusikika kuhusu wanawake wanaovaa nguo fupi kuchaniwa nguo zao, Kenya pia hiyo iliwahi kukaa kwenye headlines.
Kwa nchi za wenzetu si jambo la ajabu kuona wanawake wakiwa ndani ya mavazi mafupi na kutembea bila wasiwasi barabarani, mna leo kuna hii ya uvaaji wa nguo fupi iliyotokea China.
Kuna mgahawa mmoja China umejitolea kuwapa punguzo wanawake wote watakaokuwa wamevaa nguo fupi wanapoingia ndani ya Mgawaha huo.
Kuonesha jamaa wako serious kabisa amewekwa na mtu maalum kabisa kwa ajili ya kupima ufupi wa nguo ya kila mwanamke anayeingia kwenye mgahawa huo.. hii imeonekana kupata wateja wengi, jamaa wanasema muda mwingi kuna foleni ndefu ya wateja wa kike ambao wanapiga sketi zao ili kuingia ndani.
Punguzo hilo huanzia asilimia 20 hadi 90 ya gharama ya chakula na vinywaji na hutegemea na jinsi mhusika alivyovaa.

Yang Jia Hot Pot ambaye ni meneja wa mgahawa huo amesema baada ya kutoa ofa hiyo wamekuwa wakipata idadi kubwa ya wateja na mauzo yamekuwa poa pia baada ya kuanza kwa ofa hii maalum kabisa !!


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »