Showing posts with label Giggy Money. Show all posts
Showing posts with label Giggy Money. Show all posts

Gigi Money aachia tena Picha za Kihasara hasara Mtandaoni

Gigi Money anaishi maisha ya serikali yake mwenyewe, sheria zake mwenyewe na maamuzi yake mwenyewe.. kimsingi hadi kieleweke!

Ndio maana ameendelea kuwa controversial kwenye Instagram na watu wamemzoea hivyo na hilo ndilo lililompa jina, hakuna kingine! Wiki hii ameamua kumwaga radhi kwa kupost picha hizo chini.
Giggy Money: Muziki na figa bwana

Giggy Money: Muziki na figa bwana

Giggy MoneyGiggy Money.
Binti anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki, Giggy Money anasema ukiwa na kipaji cha kuimba kisha ukawa umejaaliwa figa bomba kama alivyo yeye, lazima utusue.
“Si unaniona nilivyojaaliwa figa matata, sasa na hiki kipaji cha kuimba si lazima watakaa? Nimeingia kwenye game nimedhamiria, mtarajie ngoma baada ya ngoma,” anasema Giggy anayesumbua na wimbo wa Majojorijo.