Showing posts with label Mr. Nice. Show all posts
Showing posts with label Mr. Nice. Show all posts
Mr. Nice alazwa hospitalini mkoani Shinyanga

Mr. Nice alazwa hospitalini mkoani Shinyanga

Kwa Habari zilizotufikia ni kwamba,Msanii ambaye alikuwa na jina kubwa hapa nchini na Afrika Mashariki kwa Ujumla,Lucas Mkenda Maarufu kama Mr. Nice anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Frolida wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Kwa habari zaidi Bado Blog yetu inafuatilia zaidi kufahamu  Mr. Nice anasumbuliwa na nini.
Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu aweze kupona Mapema na aweze kutoka hospitalini Mapema.