Showing posts with label Nay wa Mitego. Show all posts
Showing posts with label Nay wa Mitego. Show all posts

Nay wa Mitego na Dayna Nyange Aibu Yao...Picha zao Chafu Zanaswa

Hii ni aibu yao! Picha zinazomuonesha staa wa Hip Hop anayetamba na ngoma ya Shika Adabu Yako, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa katika pozi la nusu utupu na msanii wa Bongo Fleva, Aisha Nyange ‘Dayna’ zimevuja pasipo wenyewe kujua.

Katika baadhi ya picha hizo, Nay anaonekana akiwa amemkumbatia Dyna huku wakiwa hawana nguo za juu, yaani Nay hana vesti wala tisheti na hata Dyna akiwa hana nguo yoyote ya kumstiri juu.

Baada ya kuzidaka picha hizo gazeti hili lilivuta waya na kuwatafuta wahusika ambapo baada ya kumpata Nay na kumdadisi kama anabanjuka kimalovee na mwanadada huyo alikuwa na haya ya kusema;

Dah, hapana bwana, hizo picha hatukupanga zitoke. Kuna ambazo zilipitiliza si unajua wakati wa kupiga studio zipo ambazo huwa hamzitumii sasa sijui nani alizivujisha hizo mbaya.”
Baada ya kumalizana na Nay, Dyna naye alitafutwa ili kuifungukia ishu hii, ambapo baada ya kupatikana alidai zilikuwa ni picha za kwenye kava la ngoma yake ya Nitulize aliyomshirikisha Nay lakini alipoulizwa kuhusu zile zilizovuka maadili, alijibu:

“Aah! Hilo ni suala binafsi, lakini naomba iishie kufahamika kuwa Nay ni mtu wangu wa karibu lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi, ilikuwa ishu ya kazi tu.”
Bifu; Ommy Dimpoz amchana Nay wa Mitego

Bifu; Ommy Dimpoz amchana Nay wa Mitego

Ommy
Ommy Dimpoz.
Siku moja baada ya mwanamuziki Nay wa Mitego kutoa wimbo wake mpya uitwao ‘Shika adabu yako’ ambapo katika mashairi yake amewadiss mastar kibao akiwemo Ommy Dimpoz, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dimpoz amemchana Nay kwa kuandika haya:
nay
Nay wa Mitego.
“Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake. Nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi”.😂
😂Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema 😊 – Alimalizia hivyo Ommy Dimpoz.