Showing posts with label Roma. Show all posts
Showing posts with label Roma. Show all posts
Wimbo wa Roma ‘Viva Roma Viva’ wafungiwa rasmi na Basata

Wimbo wa Roma ‘Viva Roma Viva’ wafungiwa rasmi na Basata

Roma - Viva Roma
Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) wameufungia rasmi wimbo wa mwanamuziki Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ uitwao ‘Viva Roma Viva’ na nyinginezo zenye ujumbe kama ule unaokiuka maadili.

Basata kuwa, imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba, hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.