Pengine hii inawahusu walio katika ndoa na ambao bado!Ni zipi hasa lugha za mwili katika map#nzi?! Hapa nnazungumizia ishara, milio au sauti fulani ambazo ukisikia au kuona kutoka kwa mwenza wako inakupasa uchukua hatua stahili kulingana na mzingira husika. Kwa wale ambao tupo katika ndoa naimani unanafasi nzuri ya kumsoma mwenza wako na kuweza kugundua anahitaji au anamaanisha nini akiwa hivyo.

Pia wanawake nawashauri wawe "wachokozi" kidogo maana kuna wanaume huwa hawaanzi mashambulizi mpaka washambuliwe, kama hali ipo hivyo basi mwanamke inabidi ndo ume mpangaji mashambulizi ya awali.
Mwisho niwaambie Mke na Mume, kama inavyowapasa kujua sehemu za mihemuko baina yenu, inawapasa pia muelewe lugha za miili yenu. Miili inaongea bwanaa!!!
;