NAKUP#NDA IENDANE NA VITENDO



Kwa Usiku wa leo niongelee kwa uchache kuhusu neno zito lililopoteza uzitoo wake, maana siku hizi hata chizi husema "N@kupenda" Ieleweke kuwa ndani ya ndoa, nakupend@ bila matendo mazuri kwa ump#ndaye ni kuidhulumu nafsi yake na kuuongopea moyo wako. Tuwe wakweli na wenye map#nzi ya dhati yanayoendana na vitendo vizuri kama ishara ya hisia zetu kutoka moyoni. Chukua nafasi hii kumwambia Mp#nzi wako "NAKUP#NDA MP#NZI, Nafurahia kila sekunde nnayokuwa nawe, Nilikup#nda Tangu Nilipo Kuona, Nakup#nda Sasa, Na Ntakup#nda Daima, na ni kwako tu Map#nzi yangu yamefika" Na Daima Matendo yako kwako yatastaharabika na Sitokuvunjia Heshima. 



x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »