Habari za week end wap#nzi wasomaji wangu! Ni matumaini yangu mpo salama na mnaenendelea vyema. Leo nataka kugusia kuhusu kuf@nya m@p#nzi, kwa vijana. Maamuzi yangu yanatokana na zama tulizonazo ambazo kiukweli maadili yameporomoka, na kila mtu analifanya lile alitakalo bila kujali Umri, nafasi, Mazingira au Jamii inayomzunguka.
Kwa ambao wapo katika ndoa tayari najua hili si tatizo kwao, wamesalimika! Hapa nawalenga zaidi vijana, tena wale ambao hata miaka 20 hawajafika, vijana ambao kiukweli vichwa vyao vimekuwa vya moto mno, asilimia kubwa wanafikiria kuhusu "Ng0n0", Starehe na "Maisha ya gharama".

Lakini katika jamii inayotuzunguka Ng0n0 na Map#nzi si tatizo, muhimu ukumbuke kutumia "C0nd0m" na uhakikishe au shiriki na mwanafunzi la sivyo utafungwa.
Ukirudi katika mitandao na sehemu nyingine pia Ng0n0 na Map#nzi ni wewe tu na hela yako! Kama hela ipo basi utapata Ngono kwa kadri unavyojisikia.
Hapa ndipo tulipofikia leo.Kwa Kijana, Mimi nakusihi ujiulize yafuatayo kabla haujaamua kuanza kushiriki Ng0n0 na M@p#nzi:-
i) Nimelazimishwa au napenda toka moyoni
ii) Madhara yanayoweza tokana na kitendo nachotarajia kukifanya nayafahamu?
iii) Mwili, Viungo na Akili yangu ipo tayari kwa hayo?
iv) Wazazi, Jamaa na Imani yangu inasemaje kuhusu hili?
Kama utaridhishwa na majibu binafsi toka kwako mwenyewe nna uhakika utatoa maamuzi ya busara kuhusu lile ulilokusudia kulifanya na hata kama litatokea lolote utajua ni nani wa kumlaumu.

;