Aise,
kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya
ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa
kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active
range of age! madhara yapo ya Negative na positive.
Mfumo
wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa
ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili
kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uk*e na u*me
kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)
inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke
na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka
jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia
inacontrol joto la mwili (cooling effect).
Anayesema
amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali
maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia
s*x toys, dildo(vibrant artificial pen!s zitumiazo umeme), usagaji n.k.
sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's
brain iniciated.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uch**i,
Kusahausahau,
Kupendelea story za map#nzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
;