TIWA ALALAMIKIA UJAUZITO WAKE, JE, WAJUA ANACHOLALAMIKIA NINI KUHUSU HUO UJAUZITO? SOMA HAPA!!!



Mwanamuziki wa Nigeria,  Tiwa Savage.


MWANAMUZIKI Tiwa Savage wa Nigeria amelalamika kwamba ujauzito alio nao hivi sasa umevuruga shepu yake hasa kutokana tumbo kujitokeza.

Tiwa Savage akiwa na mumewe Tunji ‘Teebillz’ Balogun.


Mrembo huyo ambaye anategemea kumzalia mtoto  mumewe Tunji ‘Teebillz’ Balogun, amesema kwenye akaunti yake ya Instagram kwamba pamoja na kufurahia hali hiyo, ujauzito una changamoto zake.
“Wakati wote unatamani uzae mtoto umwona na unakuwa unafurahi wakati anapojitingisha tumboni na unapofahamu kwamba sasa amelala.”Ni safari ya kufurahisha tangu ujauzito hadi mwisho wake,” aliandika.


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »