Je, Unajua kwanini Ally Kiba haja-mfollow mtu yeyote kwenye mtandao wa Instagram? Hizi ndizo sababu zake alizozitoa!


alikiba
Ali Kiba ni staa mkubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa ana mashabiki wengi wanaomfuatilia kupitia mitandao hiyo.
ALI KIBA ZZ
 Je Ushawai Kujiuliza Hivi Mbona Msanii wa Bongo Flava ALIKIBA(@officialalikiba ) Ha Follow Mtu Yeyote Kwenye Mtandao Wa Instagram? Nimekutana na post ya Instagram kwenye page ya Mseto East Africa ambao walikaa na kupiga stori na Ali Kiba na kumuuliza swali hilo, majibu yake ni haya hapa >>> “Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu na vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha”<<<officialalikiba
.


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »