TAZAMA JINSI KIM KARDASHIAN ALIVYOAMUA KUMUONYESHEA UPENDO DADA YAKE





Mwanamitindo ambaye kwa sasa ni mama kijacho, Kim Kardashian. 

New York, Marekani
MWANAMITINDO ambaye kwa sasa ni mama kijacho, Kim Kardashian hivi karibuni ameonyesha upendo wa hali ya juu baada ya kutoka ‘out’ na mtoto wa dada yake, Kourtney Kardashian, Mason Disick ambaye kwa sasa yuko katika kipindi kigumu baada ya kumwagana na mzazi mwenzake, Scott Disick.
Kim alionekana sehemu mbalimbali za mitaa ya New York akiwa na Mason pamoja na mwanaye North, ambapo iliripotiwa kuwa wikiendi hiyo Kourtney ambaye pia ni mwanamitindo aliutumia muda mwingi akiwa nyumbani kwake Las Vegas na wanae wengine,  Reign na Penelope.


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »