Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian.
New York Marekani
Mashabiki wa Kim Kardashian, wameshangaa kitendo cha yeye kutoka nyumbani bila kuvaa Bra na kudai kuwa ni kumuaibisha mume wake kwani hii si mara ya kwanza.
Papararazi walimpiga picha Kim akionekana kutovaa sidiria huku mtaani wakijiuliza kulikoni mume wake hamuoni au ni mtu asiyejali na kumpachika jina la ‘Mastermind’. “Kivazi hiki kimekuwa kikiwatega watu kwani sehemu kubwa ya kifua chake kiko wazi, si vizuri kwa mama mwenye mtoto kuvaa nguo kama hii, kweli anamhaibisha mumewe”, alisema Shabiki mmoja
;