Wachezaji wengi wa ligi kuu ya England na hata ya Tanzania bara kwa sasa wapo katika mapumziko mafupi baada ya ligi kuu kumalizika huku wakisubiri msimu mpya kuanza.
Wanasoka wengi hasa wa Ulaya wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukaa beach na familia zao huku wakifurahi pamoja huku wakijipumzisha.
Nahodha wa Manchester United, Wyne Rooney ameamua kujipumzisha na familia yeka katika visiwa vya Barbados akila bata.
Mcheki hapa….
;