Nifanyeje ili Nimtoe bikira mwanamke huyu bila kumuumiza?



Mzee Mzima yamenishinda Kila nikijaribu Kuweka kitu yangu , Mchumba wangu anaumia sana so tunashindwa kuendelea , miaka miwili sasa imepita tukijaribu anaumia sana na mie namuonea huruma akishaanza kulia tu natoa nisije muumiza...Mimi naamini mapenzi ni raha na si kuumizana so sitaki kumuumiza wangu wa maisha ...Sasa naombeni kama kuna mtu anajua njia raisi ya kutoa bikira ambayo mpenzi wangu hat0umia hata kidogo.....


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »