Ni mwanamke ambaye akiingia mahali kila kitu kinasimama na kumuangalia
yeye.
Kila akipita watuwanamkodolea macho ya kuingiwa na tamaa. Kila anapotembea unajiskia dunia yote ikikuzunguka kichwani. Kiufupi ni mwanamke mrembo unayemzimia kiasi cha kuwa unashindwa kumtongoza.
Kama wanaume wengine, unashindwa kumtongoza kwa sababu anaoneka level nyingine, yaani ni tofautikabisa na mwanamke wa kawaida. So utafanya nini ili kumpata mwanamke kama huyu?Usikate tamaa kwanikama mwanaume yeyote, pia wewe una nafasi bora ya kumnyakua mwanamke huyo na kumfanya wakokabisa.
Ujanja ni kufuata hayamaagizo ambayo yamefanyiwa utafiti na kudhibitishwa kuwa yanafanya kazi asilimiamia moja.Zifuatazo ni jinsi ya kutongoza mwanamke aina hii:1. Kuwa na sababa za uhakikaKabla kuanzachochote, unafaa kujiuliza kwa nini unataka kumtongoza huyo mwanamke.
Najua hautaki kumtongoza kwa sababu ya umbo lake ama unataka kujionyesha kuwa wewe ni bingwakutongoza mademu warembo zaidi manake ukifanya hivyo utakuwa umejidhalilisha kimpango flani. Pia usijaribu kumtongoza ili kumuonyesha mpenzi wako wa zamani kuwa hatoshi mboga..
;