Wema Sepetu na Steve Nyerere Wafunga safari hadi IKulu ya Dodoma kumfuata Rais Kikwete...Kisa?



Katika hali isiyotarajiwa, Wasanii wa Bongo Movies,Wema Sepetu na Steve Nyerere leo Asubuhi walionana na Rais Kikwete katika Ikulu ya Dodoma kwa kile kinachodhaniwa labda kutokana na vikao vya chama vinavyoendelea Mjini Dodoma Pengine wameenda kubembeleza kukumbukwa kwenye Nafasi za Ubunge kwenye Bunge lijalo.
Ikumbukwe hawa wote walishindwa kwenye kura za Maoni zilizofanyika hivi karibuni kwenye Majimbo yote hapa Nchini kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Tunawatakia kila lakheri wasanii wetu katika harakati zao.


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »