Dida kutoka Times Fm Radio amwonyesha Mpenzi Wake Mpya Instagram huku akimficha Sura!


Mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani cha Radio Times Fm ya Jijini Dar es salaam hatimaye aanza kumwonyesha Mpenzi wake Mpya kupitia Ukurasa wake wa Instagram huku akimficha Sura yake isionekane na watu kumjua kwasasa.
Dida ambaye alikuwa Mke wa Mtangazaji mwenzake Ezden Jumanne na baadae kuachana baada ya kutoelewana wawili hao. Kupost kwa picha hizi Instagram kwa Mtangazaji huyu kunahashiria hivi karibuni atamuweka wazi huyo Mpenzi wake Mpya.


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »