KAYUMBA JUMA atangazwa Mshindi wa BBS 2015


Kayumba Juma akiwa haamini kilichotokea Mara baada ya kutangazwa kuwa ni Mshindi.
Dogo aliyevuta Hisia za Watu wengi kwenye Shindano la Kutafuta vipaji la kuimba hapa Tanzania,Bongo Star Search (BBS) Kayumba Juma kutoka Dar Es salaam, ametangazwa kuwa ndiye Mshindi wa Shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi Mpya wa King Solomon.


Kayumba aliweza kuwashinda Wenzake Watano aliokuwa anashindana nao kwenye Top Six,  Nafasi ya Pili ilichukuliwa na Naseeb Fanabo wa Arusha na Mshindi wa tatu alikuwa Frida Amani nae kutoka Arusha.
Kayumba Juma akiwa na Nasibu Fanabo ppamoja na washereheshaji Cessar Daniel na Penny kabla ya kutangazwa kuwa Mshindi.







x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »