Showing posts with label Mahaba. Show all posts
Showing posts with label Mahaba. Show all posts

Diamond Platnumz na Zari ndani ya mahaba mazito Sweden

 
Watakufanya utamani kupenda ukapendwa – maake kunakupenda usipendwe na badala yake ikawa tu karaha, mapenzi usiyafurahie tena. Lakini kwa Zari the Bosslady na Diamond Platnumz ni mahaba mazito kama ya Romeo and Juliet kwenye visa vya William Shakespeare. Wenyewe wanajiita Mr and Mrs Smith aka Brad Pitt na Angelina Jolie.
Mapenzi yao (ambayo walau yanadhihirika kwa picha zao za Instagram), yanaweza kuwapa wivu uliochanganyikana na hasira maex wao. Jioneee mwenyewe picha zao wakiwa backstage kabla ya hitmaker huyo wa ‘Make Me Sing’ hajapanda stejini huko Stockholm, Sweden. 


Mambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke


1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKE
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno
3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
4.KUMPONDA UR EX LOVER
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KILA UMTAKAE
Eritrea Orders Men To Marry Two Wives or Be Jailed

Eritrea Orders Men To Marry Two Wives or Be Jailed

Eritrea Orders Men To Marry Two Wives or Be Jailed
In Eritrea the Grand Mufti, the highest religious authority in the country, declared that every man must marry two women or face a jail sentence.
This was contained in a statement in Arabic by the Grand Mufti (the highest official of religious law in the country) which scanned copy surfaced on social media sites on Thursday last week.
The Eritrean government says they will compensate Eritrean men for the marriage ceremonies and houses.
The declaration is motivated in part by the shortage of men which is a byproduct of the Eritrean-Ethiopian War which took placed from 1998-2000. The war left 150,000 Eritrean soldiers dead out of a population of only 4 million.

A translation of the statement states:

“Based on the law of God in polygamy, and given the circumstances in which the country is experiencing in terms of men shortage, the Eritrean department of Religious Affairs has decided on the following .”
First that every man shall marry at least two women and the man who refuses to do so shall be subjected to life imprisonment with hard labour. “The woman who tries to prevent her husband from marrying another wife shall be punished to life imprisonment,” alleges the activists in their translation.
Here’s Why It's A BAD Idea for Eritrea’s Government To Force Men To Marry Two Women
May 1998 to June 2000 Eritrean-Ethiopian war saw 150,000 soldiers killed from either sides but having a bigger impact on male population in the tiny Eritrea nation who were then just 4million people in total.

Photos : Selena Gomez spotted with rumoured new boyfriend

Selena Gomez, 23, is believed to be in a romantic relationship with model and fashion executive, Samuel Krost. The pair were seen getting all cozy during a dinner date in Beverly Hills yesterday. The dinner date lasted for about 3 hours after which they left holding hands. They were also spotted last week Thursday packing on PDA at a nightclub in West Hollywood. Her famous ex, Justin Bieber has also moved on to Hailey Baldwin.. 

Je, Umeshawahi kuwaona Mademu wenye Shepu za Mvuto na Sifa zote za Kuitwa Wanawake?Tazama Picha za Mrembo huyu...!

Hapa Duniani inabidi tukubaliane kitu kimoja,Kuna Wanawake ni wazuri sana Amini usiamini,kuanzia juu mpaka chini,kuna hadi wengine unaweza kuhisi labda wamejiumba wenyewe...!
Kuna vitu vingi vinaweza kuwafanya wakawa wazuri na wa kuvutia japokuwa wengi wao wamezaliwa naturally ni wazuri ingawa kuna wengine wana Uzuri wa kutengeneza, Lakini mwisho wa siku wote tunasema ni Wazuri.
Mfano mzuri huyu Mrembo, Hakika ni Mzuri jaribu kuzitazama picha zake alafu utakuja kukubaliana nami!


Umbea:Kidoa, Farid Uwezo wabambwa kimalovee

Video Queen mwenye mvuto wa aina yake, Asha Salumu ‘Kidoa’
KABANG! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Asha Salum ‘Kidoa’ na msanii wa sinema za Kibongo, Farid Uwezo wamebambwa live wakiwa kimalovee kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.

Wawili hao walikuwa wakilishana matunda aina ya strawberry, walipoulizwa kulikoni walidai ni marafi kitu hakuna kinachoendelea kati yao.
fariduwezoMsanii wa sinema za Kibongo, Farid Uwezo.