Showing posts with label Masogange. Show all posts
Showing posts with label Masogange. Show all posts
Udaku:Masogange kumharibu Kidoa
Kidoa Masogange
Agnes Gerald Masogange
Video Queen nyota, Agnes Gerald maarufu kama Masogange anadaiwa
kutaka kumharibu muuza nyago chipukizi Asha Salum ‘Kidoa’ baada ya wadau
kutilia shaka ukaribu wao.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, katika siku za hivi karibuni mabinti hao wamekuwa na urafiki wa karibu, wakichati mambo mengi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, kitu kinachoonesha huenda ushosti wao ukafika mbali zaidi ya hapo. “Si unajua Masogange ana zile dili zake za kwenda mara kwa mara Sauz huku ikiwa haijulikani hasa anafuata nini? Na si unakumbuka ule msala wake wa kukamatwa na madawa ya kulevya? Sasa wadau wanahofu asije naye akaingizwa kwenye mchongo,” kilisema chanzo hicho.

Asha Salum ‘Kidoa’
Katika kuweka sawa madai hayo, gazeti hili liliwasiliana na Kidoa
ambaye alifunguka; “Mimi ni mtu mzima na akili zangu timamu, siyo kila
rafiki utakayekuwa naye basi lazima uige tabia zake, halafu Masogange
siyo rafiki yangu kihivyo, kawaida tu!”
Kwa upande wake, Masogange alipotafutwa na kuulizwa kuhusu madai hayo, alijibu kwa kifupi; “Ulishawahi kuniona nikienda naye Sauz, au ulishawahi kuniona naye kwenye ndege, kifupi mimi sinaga rafiki.”
Kwa upande wake, Masogange alipotafutwa na kuulizwa kuhusu madai hayo, alijibu kwa kifupi; “Ulishawahi kuniona nikienda naye Sauz, au ulishawahi kuniona naye kwenye ndege, kifupi mimi sinaga rafiki.”
Je!Masogange kumzalia Davido?
Davido Masogange skendo
Video Queen anayekimbiza Bongo, Agness Masogange.
HUENDA ikawa kweli Video Queen anayekimbiza Bongo, Agness Masogange amenasa ujauzito unaosemekana kuwa ni wa staa wa muziki kutoka Naija, Davido baada ya kuweka picha tata mtandaoni.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Masogange aliweka picha ya Davido na kuandika ‘I’m missing him’ na baada ya sekunde kadhaa tena akaweka picha nyingine ilioonesha majibu ya ujauzito kuwa amenasa.
Hata hivyo baada ya kuandamwa na mashabiki alizifuta zote hali iliowafanya mashabiki wawe njia panda.Wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza Novemba mwaka huu katika sherehe ya kuzaliwa ya Davido.
Kama kweli Masogange atakuwa na ujauzito kama inavyosemakana na ikajulikana ni wa Davido basi Davido atakuwa na mtoto wa pili baada ya wa kwanza aliyenaye ambaye amezaa na Sophie Momodu wa Nigeria.

Agness Masogange Kwenye Mahaba Mazito na Midume Miwili
Masogange Udaku
Masogange laivu na midume miwili hotelini AIBU jamani! Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti, Ijumaa Wikienda linaripoti. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye makao yake yasiyo wazi. Akiwa na mmoja kati ya midume hiyo.

Katika picha za tukio hilo, Masogange, akiwa kwenye vazi moja na kwa nyakati tofauti, alikuwa akijiachia kimahaba na wanaume hao, mmoja akitajwa kuwa ni raia wa Uganda. “Yaani unaambiwa Masogange alikuwa na wanaume hao wawili tofauti bila kujali ataelewekaje… da! Jamani hawa dada zetu nao,” kilisema chanzo hicho. Baada ya kubwagiwa ‘ubuyu’ huo na picha kutufikia, wanahabari wetu walimwendea hewani Masogange ili atolee ufafanuzi tukio hilo lakini hakupokea simu. Hata hivyo, waandishi wetu hawakukata tamaa, walimtumia ujumbe mfupi kwa njia ya simu lakini pia hakujibu.

Photos:Agness Masogange shares her photos on her Instagram page show off her amazing Sexy Body!
Masogange Udaku
Tanzanian popular video and Instagrammodel, Agness Masogange shares her photos while she is in South Africa, Her Sexy Body together with her friend is the one of the Issue makes her followers so excited, see More photos;

Photos:Forget VERA, This Tanzanian Socialite is Confusing all Men in Africa!
Masogange Udaku
Her name is Agnes and she is Corazon Kwamboka’s friend From Tanzania...

Subscribe to:
Posts (Atom)