Diva Amchana Chagga Barbie Kiaina baada ya kuachana kwa ugomvi na Prezzo!!!







Mtangazaji matata wa Clouds Fm Anayejulikana kwa jina la Loveness Diva jana usiku katika kipindi chake Alifunguka kiana kuhusu wap#nzi wanapogombana na kuanza kuweka mitandaoni Private Message walizokuwa wanatumiana wakiwa ndani ya Map#nzi...

Aliwaasa wakina dada waache huo mchezo kwani ni kujiabisha mbele ya jamiiii ..kwani inafika mahali mpaka unasema jinsi maumbile ya mpenzi wako yalivyo...Hili linaonekana ni ndogo kiana kwa Mwanadada Starlisha a.ka Chagabibie Ambae Jana Ilikuwa Gumzo mitandaoni Baada ya Kuweka Conversation zake na Prezzo Aliyekuwa Mp#nzi wake na kufikia kumwita Kibamia ...

Je wewe unasemaje ...ni sahihi kuweka private msg za mp#nzi wako online


x

;

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »