YATAMBUE MADHARA YA KUTOSHIRIKI TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU ( WANANDOA)

Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uk*e na u*me kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia s*x toys, dildo(vibrant artificial pen!s zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uch**i,
Kusahausahau,
Kupendelea story za map#nzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

MANENO YA KUPANDISHANA "NYEGE#" KWA WANANDOA.



Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "ny#ge"kabla ya kuanza kufanya map3nzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
               -
Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my l0ve" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya map#nzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana!  ADIOS!!!!

KWA WANANDOA, "MWENZA" HAJIWEZI!!! UNAFANYAJE?


Kuishi wawili ni kuvumiliana na kuona mengi, miongoni mwa hayo ni hili, inaweza ikatokea Mume ana Matatizo katika utendaji au Mke akawa ndo mwenye Tatizo. Ikiwa hali ipo hivyo tunafanyaje? Si vizuri baada ya kuona mapungufu ya mwenza wako ukaamua kutoka na kutafuta Nje wa kuziba Pengo. Suluhisho ni wote kwa pamoja kuungana na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu tatizo husika, iwe ni kwa dawa za hospitali au tiba mbadala, na kama ni mapungufu ya kielimu wanaone wataalam wa mambo hayo wawape elimu na ushauri utakaowafaa hatimaye kuzidi kuilinda na kuienzi ndoa yenu!