KIOJA: WANAUME WA KENYA KUTOSHIRIKI TENDO LA NDOA KESHO


Kati kuadhimisha siku ya kile wanachokiita Mateso na Ukatili unafanywa na wanawake dhidi ya wanaume, Huko nchini Kenya, wanaume wa nchi hiyo wameamua Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa siku hiyo yaani Tarehe 11/11. Sidhani kama wanaume majirani wa Tanzania wataunga mkono hili.